Wednesday, April 22, 2015

FAIDA 10 ZA TIKITI MAJI



1. Lina kiwango kikubwa cha Alkali

2. Kurekebisha msukumo wa damu

3. Kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu

4. Lina kiwango kikubwa cha maji

5. Kuzuia magonjwa ya moyo

6. Chanzo cha nguvu mwilini

7. Kuzuia saratani

8. Kuboresha mifupa

9. Kusafisha figo

10. Kuboresha kinga
Share:

1 comment:

  1. Waoooooo asanteeee sanaaaa kwa elimu hii nzuri Mungu awabariki Sana

    ReplyDelete