Tuesday, May 19, 2015

FAIDA ZA PAPAI




1.       Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini.

2.       Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.

3.       Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.

4.       Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani.

5.       Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).

6.       Kuboresha misuli na neva mwilini.

7.       Kusaidia kumeng’enya protini.

8.       Kuboresha kinga ya mwili.

9.       Kuboresha macho.

10.     Kuboresha mfumo wa hewa
Share:

No comments:

Post a Comment