· Kuvimba kwa bandama
· Kubadilika kwa rangi ya ngozi
· Misuli kuwa dhaifu
· Kuhisi vibaya
· Usagaji mbovu wa chakula mwilini
· Kupoteza hamu ya chakula
· Kuhisi kichefuchefu
· Kuhisi baridi
· Uchovu n.k
Dalili zote zilizoorodheshwa hapo juu pia
humkuta mgonjwa akiwa kwenye hatua za malaria ya kawaida lakini huongezeka mara
dufu pindi hali inapoelekea kuwa ya usugu.
Ni muhimu kufuata ushauri wa kitabibu toka kwa daktari baada ya kuhisi
moja kati ya dalili zilizo katika mojawapo ya hatua zilizotajwa hapo juu ili
kujinusuru. Ikumbukwe kuwa ugonjwa huu
unaweza kusababisha kifo kwa mhusika ikiwa atapuuza dalili yoyote.
No comments:
Post a Comment