Monday, February 13, 2017

DALILI ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo

Kunaweza kusiwe na dalili za moja kwa moja za ugonjwa wa vidonda vya tumbo lakini mara nyingi ishara zifuatazo zimekuwa zikijitokeza hivyo ni vema kumuona mtaalam wa masuala ya afya kwa ajili ya ushauri wa kitabibu ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vipimo ili kubaini tatizo.

·         Maumivu makali ya tumbo kwa muda mrefu hususan nyakati ambazo mhusika wa tatizo hajapata chakula.

·         Kutapika mara kwa mara.

·         Uchovu wa mwili

·         Kukosa hamu ya chakula

·         Kupungua kwa uzito

·         Mwili kukosa na nguvu

·         Tumbo kujaa gesi

·         Kutapika damu

Soma pia MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
Share:

No comments:

Post a Comment