· Epuka maeneo yanayochochea shambulizi la pumu kwako kutokana na maelekezo ya daktari wako.
· Epuka vipodozi na manukato yenye harufu kali ambayo yanachochea pumu kwa upande wako.
· Kula vyakula vyenye asili ya mboga za majani kama vile nyanza, zukini, bilinganya, maharag mabichi, matango na vyote vyenye asili hiyo.
· Mgonjwa anapaswa kutumia samaki wabichi kwa wingi
Utafiti unaonesha kuwa ulaji wa
vyakula hivi unahusiana kwa karibu na kupotea kwa dalili za pumu kwa wenye
historia ya kuwa na ugonjwa huu.
TAHADHARI
Matumizi ya tiba hizi mbadala hazipaswi kutumika
kama mbadala wa tiba au ushauri kutoka kwa daktari, tafadhali zingatia tiba na
ushauri wa daktari pamoja na matibabu yoyote utakkayokuwa umeandikiwa na
daktari wako.
No comments:
Post a Comment