Kitabibu ugonjwa huu hujulikana kama malignant
neoplasm unaoenezwa na oncovirus ambapo
seli za mwili wa mwanadamu hugawanyika na kukua huku zikisababisha uvimbe
usioweza kuzuilika kirahisi katika maungo ya mhusika. Saratani inaweza kusambaa katika mwili wa
mwanadamu kupitia mfumo wa ute uliopo kwenye chembe hai nyeupe na mzunguko wa
damu. Si kila uvimbe unaoweza kutokea
katika mwili unasabishwa na saratani.
Uvibe wa saratani vigumu kuzuilika na huweza kuenea katika mwili mzima
wa mhusika. Kuna aina zaidi ya 200
tofauti za ugonjwa wa saratani ambazo huwapata binadamu kutokana na sababu
mbalimbali.
Soma pia CHANZO CHA UGONJWA WA SARATANI
Soma pia CHANZO CHA UGONJWA WA SARATANI
No comments:
Post a Comment