Thursday, February 16, 2017

SHINIKIZO LA CHINI LA DAMU (LOW BLOOD PRESSURE)

shinikizo la chini la damu


Watu wengi wanafahamu madhara ya shinikizo kubwa la damu na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili pindi linapowakumba lakini pia ni vema kufahamu kwamba shinikizo dogo la damu nalo lina hatari sawa.
Pindi shinikizo la damu linapokuwa chini ya kiwango halisi cha 120/80 huchukuliwa kama shinikizo dogo la damu katika mwili wa mwanadamu.
Tatizo hili hutokana na msukumo mdogo wa oksijeni kupitia kwenye damu kwenda katika moyo na ubongo.  Matokeo yake mwili hushindwa kufanya kazi kwa ufasaha na kupoteza nguvu.
Dalili za Shinikizo Dogo la Damu
Hakuna dalili za moja kwa moja kwa tatizo la shinikizo dogo la damu katika mwili wa mwanadamu kwani wahanga wengi wa ugonjwa huu wamekuwa hawaoneshi ishara kama ilivyo kwa magonjwa mengine.  Lakini kitaalamu yapo mambo kadhaa ambayo yanaashiria uwezekano wa mtu kuwa na tatizo la shinikizo dogo la damu kama ifuatavyo:
·         Mabadiliko kwenye mapigo ya moyo.
·         Macho kubadilika rangi.
·         Kuhisi kiu muda mwingi
·         Ngozi kubadilika rangi
·         Kupoteza fahamu
·         Kushindwa kuvuta hewa vizuri
·         Kuhisi homa
·         Umakini mdogo
Visababishi vya Msukumo Mdogo wa Damu
Tafiti za wataalamu wa masuala ya afya zinafafanua kwamba tatizo la ugonjwa wa shinikizo dogo la damu hutokana na sababu zifuatazo kwa mwanadamu:
·         Baadhi ya madawa:  Kuna baadhi ya madawa yanayotumiwa na wanadamu huchochea matatizo ya msukumo mdogo wa damu mfano diuretics ambazo hutumika kutibu tatizo la shinikizo kubwa la damu, madawa ya kutibu matatizo ya moyo kama beta blockers na angiotensin yanaweza kusababisha tatizo hili.

·         Matatizo ya Moyo:  Matatizo ya moyo wakati mwingine nayo husababisha uwepo wa msukumo mdogo wa damu mwilini baada ya kushindwa kusukuma damu ipasavyo kuelekea sehemu zingine za mwili.

·         Kupungukiwa damu

·         Baadhi ya maambukizi na Matatizo ya mzio

Soma pia TIBA YA ASILI YA MSUKUMO MDOGO WA DAMU
Share:

1 comment:

  1. There is a safe & effective Natural Herbal Medicine. For Total Cure Call    +2349010754824,  or email him   drrealakhigbe@gmail.com       For an Appointment with (Dr.) AKHIGBE contact him. Treatment with Natural Herbal Cure. For:Dengue Fever, Malaria. Painful or Irregular Menstruation. HIV/Aids. Diabetics. Vaginal Infections. Vaginal Discharge. Itching Of the Private Part. Breast Infection. Discharge from Breast. Breast Pain & Itching. Lower Abdominal Pain. No Periods or Periods Suddenly Stop. Women Sexual Problems. High Blood Pressure Chronic Disease. Pain during Sex inside the Pelvis. Pain during Urination. Pelvic Inflammatory Disease, (PID). Dripping Of Sperm from the Vagina As Well As for Low sperm count. Parkinson disease. Obesity, Lupus. Soreness/Injury  Cancer.  Tuberculosis.  Zero sperm count. Bacteria, Impotence Fertility,Protoplasmic, Diarrhea. Hepatitis A&B, Rabies. Asthma.  Quick Ejaculation. Gallstone, Cystic Fibrosis, Schizophrenia, Crubs, Cirrhosis,  Premature Ejaculation. Herpes. Joint Pain. Stroke. Cornelia Disease, Weak Erection. Ovarian problem,  HeartBurn, Erysipelas, Thyroid, Relapsing polychondritis,  Discharge from Penis. Bronchial Problem,  HPV.  Hepatitis A and B. STD. Smallpox, Staphylococcus + Gonorrhea + Syphilis. Heart Disease.  Pile-Hemorrhoid.rheumatism,  Impotence, thyroid, Autism, Depression,  Sepsis Bacteria,  Penis enlargement, Prostate Problem,  Waist & Back Pain.  Male Infertility and Female Infertility. Etc. Take Action Now. contact him & Order for your Natural Herbal Medicine:  +2349010754824  and email him    drrealakhigbe@gmail.com    Note For an Appointment with (Dr.) AKHIGBE.I suffered in Cancer for a year and three months dying in pain and full of heartbreak. One day I was searching through the internet and I came across a testimony of herpes cure by doctor Akhigbe. So I contacted him to try my luck, we talked and he sent me the medicine through courier service and with instructions on how to be drinking it.To my greatest surprise drinking the herbal medicine within three weeks I got the changes and I was cured totally. I don't really know how it happens but there is power in Dr Akhigbe herbal medicine. He is a good herbalist doctor.

    ReplyDelete