Monday, February 19, 2018

KILA RIKA HUPATA UTAPIAMLO

Utapiamlo ni hali ambayo hutokana na kupata chakula ambacho virutubishi vyake havitoshi au viko vingi hadi kusababisha matatizo ya kiafya. Neno hili hutumika mara kwa mara hasa kurejelea hasa ukosefu wa lishe ambapo hakuna kalori, protini au lishe ya kutosha hata hivyo, hujumuisha pia kupata...
Share:

CHANZO CHA HARUFU MBAYA MDOMONI

Katika maisha ya kila siku yawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye akiongea au kutoa pumzi kinywani au puani utasikia harufu mbaya. Kwa kawaida mdomo na pua huweza kutoa pumzi nje ambayo huwa na harufu asilia ambayo haiwezi kumkera mtu mwingine, lakini mara zingine hali hiyo...
Share:

HAYA NI MATATIZO YA KUTOPATA HEDHI

Ni Dhahiri kuwa kukosa au kutopata kabisa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi. Kwanza kabisa ni vyema mwanamke akatambua ukweli kuwa, kukosa hedhi ni tatizo la kiafya, hata kama lisipoambatana na maumivu yoyote lakini mwanamke anapaswa kulitilia umakini wa hali ya juu. Kwa sababu,...
Share:

MBOGAMBOGA ZINALETA AFYA BORA KWA ANAYETUMIA

Sehemu kubwa ya mbogamboga (vegetables) inachukuliwa na maji kwa asilimia 84-96.  Kwa upande wa virutubisho vingine, mbogamboga ni chanzo kizuri cha madini ya Phosphorus na Calcium.  Vilevile ni chanzo kizuri cha Vitamin A na C. Vitamin C inapatikana zaidi kwenye mbogamboga za majani ambazo...
Share:

NJIA BORA ZA ULAJI WA CHAKULA KWA AFYA BORA

Mtindo bora wa maisha ni kuishi kwa kuzingatia kanuni za afya na kwamba, mtindo bora wa maisha unahusisha kuzingatia ulaji bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka matumizi ya pombe, kuepuka matumizi ya sigara na bidhaa zinazotokana na tumbaku ikiwamo dawa za kulevya pamoja na kuepuka msongo wa...
Share:

UMUHIMU WA TOHARA KWA WANAUME

Tohara ni kitendo kinachokubalika kijamii, kidini na kwa baadhi ya tamaduni.  Kwanza ni vizuri kujua tohara ni nini? Tohara ni upasuaji wa kitabibu ambao huiondoa ngozi ya mbele iliyochomoza kufunika kichwa cha uume.  Tohara haikuanza leo, ilianza tangu zama za kale, chanzo chake...
Share:

MADHARA YA UTOAJI MIMBA

Utoaji mimba (abortion) ni kitendo cha kusitisha mimba kabla ya wiki 22 hadi 24 za ujauzito kamili wa mwanamke.  Utoaji mimba upo wa aina kuu mbili, kuna kutoa mimba kiharamu na kutoa mimba kutokana na matatizo ya kiafya kupitia ushauri wa daktari. Leo tutazungumzia aina ya kwanza ya utoaji...
Share: